VIDEO/ MWANA - ALLY KIBA TAZAMA KIPANDE HAPA
Video ya mwana ya ALLY KIBA inatarajiwa kutoka hapo siku ya kesho. Lakini hapa tunakupa fursa ya kuitazama japo kipande cha Video hiyo iliyofanyika katika ubora wa hali ya juu
Tazama hapa chini
…Read More
VAN VICKER ASHANGAZWA NA HABARI KUHUSU WEMA
Mwigizaji na mwongozaji wa filamu wa nchini Ghana, Van Vicker ameshangazwa na vyombo vya habari za udaku za hapa Bongo, kwa kile ambacho kimelipotiwa kuhusu yeye na muigizaji Wema Sepetu.
Kwenye blogs na magazeti …Read More
JUMAPILI HII NDANI YA MAISHA CLUB KUNA HILI KUBWA ZAIDI
guys
we doing the countdown now leo ni alhamisi na nachukua fursa hii hapa
just to say Thanks to My creative team from My Company Divas Wild Events
coz we gonna have The Best Event in town itayo take pla…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment