Edson Kati akiwa na mkewe siku ya harusi
Baadhi ya wauzuliaji wa afra hiyo wakiwa na nyuso za furaha
Mpambe wa bwana harusi ndugu Msechu ambaye ni mfanyakazi mwenzake na bwana harusi akimuongoza bwana harusi kupeleka keki ukweni
Maharusi wetu wakiwa na nyuso za furaha ya pekee
Hapa ni maharusi wetu wakiwa na wapambe wao
Hapa ndipo walipo andaliwa maharusi wetu
Edson Kati na mkewe wakitugfungulia burudani
Jumaa mosi ya tarehe 8/ dec/ 2012, siku ambayo mdau wa blog hii ya na mtumishi wa NMB Eastern Zone Edson Kati ilikuwa ni siku ya furaha ya maisha yake baada ya kuingia katika maisha mapya ya ndoa na kuachana na Ukapela.
Baadhi ya wauzuliaji wa afra hiyo wakiwa na nyuso za furaha
Mpambe wa bwana harusi ndugu Msechu ambaye ni mfanyakazi mwenzake na bwana harusi akimuongoza bwana harusi kupeleka keki ukweni
Maharusi wetu wakiwa na nyuso za furaha ya pekee
Hapa ni maharusi wetu wakiwa na wapambe wao
Hapa ndipo walipo andaliwa maharusi wetu
Edson Kati na mkewe wakitugfungulia burudani
Blog hii inawatakia maisha mema, amani na mafanikio muda wote wa ndoa yao. Amin
Picha ni kwa hissani ya Ally Msollah.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment