
Belle 9 ameanza kufanya video yake mpya ya LISTEN chini ya Director Nisher na hizi ni baadhi ya making video yake mpya ambayo anatarajia kuichia mapema mwaka ujao.
Audi ya wimbo huwo imefanywa na Mtayarishaji ni Tiddy Hoter wa 1 Love FX Studios.
Aya ni baadhi ya matukio ya video hiyo ambayo ameahidi itakuwa ya kiwango cha hali ya juu sana na anaamini italeta mapinduzi zaidi ya kiburudani na kuwataka wadau wawe tayari kwa ujio huwo
0 MAONI YAKO:
Post a Comment