Producer Triss
Ni producer toka katika studio za Dirty Mode Record za hapa mjini Morogoro , pia ndiye Producer aliyemtoa msanii Belle 9 na nyimbo zake kama Sumu ya penzi, Masogange, amerudi na nyinginzo. Ndiye producer wa kwanza wa Sameer na wimbo wake wa Mapenzi yaweza uwa. ndiye aliyefanya wimbo wa kwanza wa Stamina B52. Amefunga mwaka kwa kufanya wimbo uliotamba wa Izzo bissnes utarudishwa Mbeya. Amekuja yeye mwenyewe na wimbo wake wa Ooeeehh!!! skiliza na Dowload hapo chini
0 MAONI YAKO:
Post a Comment