March 26, 2013

 

     Imeonekana hivi karibuni itadondoshwa bonge ya track kutoka kwa vichwa vitatu ambavyo ni Stamina, Young Killer pamoja na Quick Rocka.
Ngoma hiyo ambayo imetengenezwa na Producer MonaGangstar kutoka katika studio ya Classic Sound inajulikana kama JANA NA LEO ikishirikisha wakali...

 
Producer MonaGangsta akipika mzigo..

 
                                      Stamina... Quick Rocka rockin' the CHORUS in the booth...

                                                                          
     Jana na Leo imefanywa jana usiku na wasanii hawa katika studio hizo zilizopo maeneo ya Kinondoni [Manyanya].
Check picha zaidi hapa chini ikiwa ni pamoja na tweets from the stars...

 
       
                                         
Chanzo :gongamx

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE