Afande Sele
Mfalme wa Rhymes Tanzania, Afande Sele ameamua kufunguka kufuatia migogoro inayoendelea kuibuka nchini juu ya imani za kidini.
Afande amefunguka hayo jana jioni nilipokutana naye katika studio za Diggital Vibes za mjini Morogoro, anapofanyia wimbo wake mpya aliomshirikisha Belle 9.
" Ujumbe wa wimbo wangu mpya, unahusiana na maswala ya imani za dini. Leo hii watanzania tumefik hatua ya watanzania tumeanza kutengana kwa dini? aisee hii ni hatari, tunapoelekea siko kabisa ndugu zangu, tunatengana, tunapigana, tunaharibiana mali kisa imani ya dini wakati dini zimekuja na tulikuwa na umoja na watanzania wote ni ndugu. nimekuja nawaletea ujumbe na kila mmoja ausikie kupitia wimbo wangu mpya nimeimba na Mdogo wangu Belle, lengu ni kuwahamasisha waanzania, tuziache itikadi izo kwani mazala yake ni makubwa sana. tutajuta. wimbo"
Wimbo huwa wa Afande unazungumzia juu ya imani za kidini na matukio yanayoendelea ivi sasa na Afande kiwahasa kuachana na mambo hayo na tuishi kama ndugu kama zamani huku akizungumzia hotuba ya hayati Mwl Nyerere.

0 MAONI YAKO:
Post a Comment