April 06, 2013

                 
 
Msanii  wa  muziki  wa  bongo  freva  toka  T.H.T  Barnaba ktika Kili 

   Mwanamuziki  anayetamba  ktk  muziki  wa  Bongo  freva BARNABA  ELIAS  toka  T.H.T, Ameweza kuwa  mshiriki mzuri  katika  mashindano  ya  TIGO  Ngorongoro nusu  marathon,  yaliyomalizika  leo  hii m  huko,  ngorongoro  mashindano  ambayo yamedhaminiwa  na  kampuni  ya  simu  za  mkononi.   (TIGO)
             
Inline image 2
                     Barnaba akiwa na Irene Kiwia manager director kutoka Frontline Porter Novelli  ambaye pia alikuwa           mshiriki wa miss Tanzania wakishiri mbio hizo ambapo walifanikiwa kumaliza mbaka mwisho
 

         Nyanja  ya  burudani  ilionekana  kuonesha  ushiriki  wake  mzuri   kwa  kuwakilrishwa  pia  na  mwanamitindo  na  aliyewahi  kuwa  mshriki  wa  miss  Tanzania  kipindi  cha  nyuma  mwana  dada  Iren  Kiwia
Hapa  ni  Barnaba  na  Iren  Kiwia
 
 
 Inline image 3
Washiriki  wakiwa  kwenye  picha  ya  pamoja.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE