April 07, 2013

 
 CPWAA
       Mwanamuki  toka   Tanzania  ambaye   anata,ba  katika  anga  ya  mziki  wa  kimataifa  Harifa  Ilunga maarufu  kama  CPWAA,  amewataka  waandaji  wa  muziki  wa  Tanzania  wajaribu  kujitangaza  kimataifa

   Akiandika katika ukurasa  wake  wa  facebook  CP  amesema

  · 6,445 like this
4 hours ago ·
Naitwa CPwaa, Tanzania ndio nchi yangu! Walishanikubali na wanaheshimu Juhudi zangu! Afrika wamenisikia,wamenielewa,Wamenikubali! Dunia inanisikilizia,inasubiri...Ni Muda wa mabadiliko..Michongo ya nje inazidi kunifata! Ndugu zangu mfuatao naomba tufanye kazi,jukumu ni letu wote kufikisha mziki huu kimataifa..Hola at me Lucci(TransforMax),PFUNK (BongoRecords),MarcoChale n MJ(MJ Records),Duke(MLab),Lamar(FishCrab),(Ryder n Murder)Tongwe Records,Proveli(Peponi records)MesenSelekta,DX(Arusha),Maneek(A.M Records),Alan Mapigo,Pancho n Hammy B(B Hits),na wengine wote R.I.P kaka/Producer COMPLEX and ROY.The FUTURE IS HERE! PWAAAA!
                    

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE