Msaniio wa Tasnia ya Filamu nchi aliyetoka jela hivi karibuni KAJALA ameamua kulipa Fadhila kwa msani mwenzake wa Filamu Wema sepetu kwa kujichora Tatoo yenye jina la WEma katika sehjemu ya mwili wake
Sehemu ya mwili wa Kajala ukionesha tatoo yenye jina la Wema
Kajala ameamua kuchukua uamuzi huwo kama fadhila baada ya Wema kubeba majukumu ya kumlipia Dhamana ya shilingi milioni kumi na tatu Tsh: 13000000/= iliyohitajiak hivi karibuni ili awe huru. Ndipo mwana dada Wema alipoamua kubeba mzigo huwo wa dhamana na gharama hizo.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment