April 11, 2013

 
KALA  JEREMIAH
      Kuhusiana  na  Video  iliyosambaa  siku  mbili  zilizopita,  inayowaonesha  wasanii  wa  Bongo  kulal;a  kitanda kimoja  kati  ya  Kala  Jeremiah  na  Dayna  Nyange,  hatimaye  Kala  ameamua  kuvunja  ukimya,
    Kala  amefunguka  hayo  kupitia  ukurasa  wake  wa  Facebook  akikanusha tuhuma  hizo  na  kudai  ni Filamu  ya  Kitale

   DAYNA  NYANGE
sIKU CHACHE ZILIZOPITA TUKIWA MKOANI SINGIDA MIMI NA DAYNA NYANGE PAMOJA NA KITALE RAIS WA MATEJA TUKIWA HOTELINI TUKIANGALIA TANGAZO LA MOVIE MPYA YA KITALE NA HAYATI SHARO MILIONEA AMBAYO ITATOKA HIVI KARIBUNI BAADA YA KUANGALIA TANGAZO HILO NDIPO UKAIBUKA MJADALA KUTOKA KWA KITALE AKIDAI ALIKUWA AMEPANGA KUFANYA MOVIE NYINGINE NA MAREHEMU SHARO. NDIPO AKAULIZA KAMA SISI TUNAWEZA KUFANYA MOVIE?.

TUKASEMA MBONA MZUKAA TU. KI UKWELI KITALE SIYO MTU WA KWANZA KUNIOMBA KUCHEZA...See More
1Like · ·
 

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE