Makala ya “Music is Our Weapon” yazinduliwa Dar
Zifuatazo
ni picha za matukio ya uzinduzi wa makala ya “Music is our Weapon”
iliyotengenezwa na kikundi kiitwacho “SARABI Music Group” cha nchini
Kenya uliofanyika Jijini Dar es Salaam…Read More
Simba 33 waokolewa na kusafirishwa Afrika Kusini
Jumla ya simba 33 waokolewa kutokana na unyanyasaji Peru na kusafirishwa kwa ndege hadi Afrika Kusini.
Wanyama hao walikuwa wanatumiwa nchini Peru kufanya mchezo wa sarakasi.
Hata
hivyo serikali ya Peru imepiga marufuku…Read More
Beyonce azimisha uvumi kuhusu ndoa yake na Jay Z
Nyota
wa muziki na mke wa msanii Jay Z,Beyonce Knowles alimwimbia mumewe
kibao chake cha zamani cha 'Halo' Miami kukomesha uvumi kuwa ndoa yake
haiendi vizuri.
Beyonce aelekeza wimbo wake wa 'Halo' kwa mume wake…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment