April 07, 2013


      Usiku wa kuamkia leo ndani  ya Ambassador LoungeKajala alifanyiwa bonge la welcome back party. Party hiyo ilihusisha mastar na mashabiki wake binafsi ambao wengi hawajawai kumuona tangu atoke Segerea kufuatia kuepuka  kifungo cha  miaka  7  jela  baada  ya  kulipa  faini  ya  Tsh: 13,000,000/= (milioni kumi  na  tatu za kitanzania)


 
Wema  akimlisha  keki  KajalaDJ  Mully  B  toka  Clouds fm  akisababisha 
 

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE