May 29, 2013



habari  kutoka kwa Dr aliekuwa ICU, katika hospitali ya St Hellen Joseph, zimethibitisha kuwa msanii aliekuwa na Ngwea wakati mauti yanamkuta, ambae yeye pia alikua hoi hospitali  m 2 THE p, anaendelea vizurin, na anaongea kwa sasa, ila uchunguzi wa kile kilichosababisha kufikishwa hospitali hapo bado unaoendelea  Hii  inapingana na taarifa za awali zilizosambazwa kwamba msanii huyo naye amefariki. Habari za kifo hicho si za kweli

hapa Dr anaongea kuhusu maendeleo ya M2theP


DOCTOR ANAZUNGUMZIA TATIZO LINALOMSIBU NA CHANZO CHAKE


0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE