May 20, 2013

BAADA  YA  KUIZINDUA  VIDEO YA MZIKI GANI, DAR LIVE,  SASA  NI TOWN KABISA, NDANI YA MAISHA CLUB KUTAWAKA MOTO ZAIDI YA HUU WA  DAR LIVE
                      Hii  ni Dar live   Diamond Platnumz akiwapa hi mashabiki. 
Ney wa Mitego akiwarusha wapenzi wa burudani.
Nyomi iliyoitikia shoo hiyo.
umepaniki bro
Diamond Platnumz akionyesha umahiri wake stejini.
Diamond akifanya makamuzi sambamba na kundi lake.
Ney wa Mitego akilishambulia jukwaa la Dar Live.
 
 

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE