May 16, 2013

 

   Msanii  toka  Manzese  kipenzi  cha  wengi Ney  wa  mitego  jumaamosi  hii  anatari  kuachia  video  yake  ya  kwanza ya  wimbo  wake mpya  uitwa  mziki  gani  aliomshirikisha  Diamond  Platnum.

 
        Wimbo  huu  una  video  mbili  lakini  video  ya  kwanza  itazinduliwa  pale Dar Live  Mbagala  jumamosi  hii. Gh
 Sababu  ya kuwa na  Video  mbili  Ney  amesem  Video  zote  ni  kali  na  wadau  wamezikubali  na kupendekeza  zote  ziende  hewani.  Video imegjarimu zaidi ya milioni  saba  za Kitanzania
  Bg  up  kwako  Ney  wa  mitego

 

 
Hizo  ni  baadhi  ya  vipande  vilivyomo  katika video hiyo.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE