Dayn Naynge akipagawisha mashabiki ndani ya Nashera Hotel Moro jumaamosi iliyopita
Jumaamosi iliyopita Ndani ya ukumbi wa Nashera Hotel Morogoro ilikuwa ndiyo siku ya kumpata Redss Miss Moro 2013 Ambapo mrembo Diana Laizer ndiye aliyelivaa taji hilo.
Dayna akiwa na mmoja wa wacheza show wake (wakali crasicc)
Katika kinyang'anyilo hicho huku mashabiki wakisubiri matokeo mwana dada Dayna Nyange aliendelea kuwaburudisha kwa show kali na kuwaacha watu wakiwa hoi kwa kuvutiwa na show hiyo ambayo iliibua maswali mengi juu yao.
Dayna akiimba unataka nini kwa hisia
Diana Laizer miss Morogoro 2013
0 MAONI YAKO:
Post a Comment