| Izzo Bizness |
| Daudi wa Kota, Machaku na God wa watu poli |
| Daudi wa Kota,Dev wa Maisha Plus,Cheka,Afande Sele, Koba mc |
| Dayna Nyange pamoja na mi Ahmad Machaku |
| ChidBenz Pamoja na Mwandishi wa TUTOKE online Magazine bwana Ngwesa |
| Stamina |
| Mchizi Mox na washikaji wengine wakiwa eneo la msiba |
| T.I.D akiwa na Omary |
| Mr Blue Akiwa na washikaji wake jamhuri pale ulipoagwa mwili wa marehe na umati mkubwa wa wakazi wa Morogoro |
| Mad, Godzilla pamoja na wengine wakiingia eneo la maombolezo |
| Afande Sele the King akisisitiza jambo |
| P Funk pamoja na Dev wa maisha plus |
Hawa ni baadhi tu ya wasanii walijitokeza kumzika msanii mwenzao hapa Morogoro kwa kweli walijitokeza wengi na wameonesha ushirikiano mzuri wa kuigwa





0 MAONI YAKO:
Post a Comment