
Msanii wa muziki wa bongo freva anayetamba na wimbo wake wa paka wa Bar Shilole, mwezi july anataraji kufanya bonge la show nchini Marekani.
Akizungumza na ubalozini.blogspot.com Shilole amesema, ijumaa hii anataraji kuanza safari kuelekea nchi Marekani ambapo katika show hiyo ya miaka mitatu ya vijimambo ataambatana na Masanja mkandamizaji

Hotel anayotaraji kufikia Shilole
Katika maadhimisho hayo ambapo mgeni rasmi atakuwa Rais mstaafu wa awamu ya pili ya Tanzaniani Mzee Ally Hassan Mwinyi
Siku ya July 6, 2013 hapa DMV kwenye Hall la Hampton Conference Center lililopo
207 w Hampton Pl,
Capitol Height, MD
Mambo mengi yatakayokuwepo ni Vikundi mbalimbali vya utamaduni,
wanamitindo wa mavazi mbalimbali kuwakilisha, vyakula vya Kitanzania,
Wasanii kutoka nyumbani ambao ni Shilole na Masanja Mkandamizaji
wakishirikiana na wa hapa Marekani yote hayo ni kudumisha utamaduni wetu
wa kiswahili
Ratiba kamili ni:
Hotel za jirani na hapa ni
Hampton Inn
9421 Largo Dr West,
Largo, MD 20774
simu ni 301 499 4600
Extended Stay American
9401 Largo Drive West,
Largo, MD 20774
simu ni 301 3339139
Hampton Inn
9421 Largo Dr West,
Largo, MD 20774
simu ni 301 499 4600
Extended Stay American
9401 Largo Drive West,
Largo, MD 20774
simu ni 301 3339139
Confort Inn
56 Hampton Park Blvd
Capitol Heghts, MD20743
Simu ni 301 336 8900
Muda wa watoto ni kati ya 10:00 am - 5:00 pm:
Kuanzia 7:00 pm- 3:00 am ni kwa watu wazima tu.
MAVAZI
10:00 am - 5:00 pm Vazi la Kitanzania
7:00 pm - 3:00 am Vazi lolote lakini uwe umependeza
BURUDANI ZOTE NI KATI YA 10:00 AM - 5:00 PM
USIKU NI CHAKULA NA MUZIKI WA DISKO TU.
Tafadhali zingatia muda. Rais Mustahafu Ali Hassan Mwinyi ataingia ukumbini 10:30 am
0 MAONI YAKO:
Post a Comment