Dayna Nyange ni moja ya wasanii wa kike hapa Tanzania wanaofanya vizuri na kukubalika sana katika jamii ya wapenda Burudani Afrka mashariki. Sasa kama hujawahi kumuona akiwa jukwaani akifanya show, tumia muda huu kutazama moja ya show zake akiwa na kundi lake la wakali Classic. Hapa ni Jamhuri Dodoma
PUNDA AELEZWA KUWA MHIMILI WA PATO KWA MFUGAJI, ASPA YAOMBA ULINZI NA ELIMU
ZAIDI
-
Na Bora Mustafa, Arusha.
Mnyama Punda ameonekana kuwa mnyama wa pili kwa kuchangia pato la mfugaji
na taifa kwa ujumla, lakini licha ya mchango wake mkub...
3 hours ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment