July 04, 2013

Kutoka kushoto ni Mery Mgawe, Hadija Riyam, Shilole, Sunday Shomari, Dr. Hamza Mwamoyo, Ilham Dirran, Masanja na Raymond Maro katika picha ya pamoja wakati wasanii Shilole n Masanja walipotembelea studio za Voice Of America Idhaa ya Kiswahili Jijini Washington.
 
Msanii Shilole akifanyiwa mahojiano ya Luninga na mtangazaji wa VOA, Sunday Shomari
 
Wasanii Shilole na Masanja wakifanyiwa mahojiano ya Radio na mtangazaji wa VOA idhaa ya Kiswahili, Sunday Shomari.
 
Masanja na Shilole wakipata picha nje ya mjengo wa Voice Of America.
Shilole akipata picha nje ya jengo jeupe alipokwenda kutembele mjengo huo.
 
Shilole na Masanja wakiwa nje ya jengo jeupe
 
Shilole na Masanja katika picha ya pamoja na Mdau Liberatus Mwang'ombe kulia ni watoto waliokua wakipata nao picha za kumbukumbu kutoka kwa wazazi wao (hawapo pichani)
 
Masanja akiwa katikati ya mktaa wa Pennsylvania, mtaa ulipo jengo jeupe.
 
Wasanii Masanja na Shilole wakikatiza kitaa cha Pennsylvania
kwa picha zaidi bofya raed more

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 


 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE