August 31, 2013

 
DJ Fetty
  Hizi ni salam za Siku ya kuzaliwa kwa Mwana dada toka Clouds Fatma Hassan, DJ Fetty au Fettythebest on Twitter  kwa siku yake ya kuzaliwa. Salam toka kwa Muntala Talavencha Mdau wa Clouds Fm
 
HAPPY BATHDAY FATMA HASAN D.J FETTTY MUNGU AKUWEKE NA AKUTUNZE MWAYA MSAADA WAKO NI MKUBWA MPAKA TUMEFIKA HAPA
 
Na kwa niaba ya Ubalozini tunaklutakia kherti ya maisha marefu na mafanikio mema.
 
 

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE