August 24, 2013


 Kutokana na uchunguzi wetu imefahamika kuwa, Filamu hii haijasimamishwa ila imetakiwa kufanyiwa marekebisho baadhi ya sehemu ili kuiweka katika mahadhi na maadili yanayokubalika na jamii.
Taarifa zinaweka wazi kuwa, kikwazo kilichoikumba filamu hiyo ni nguo fupi zilizotumika katika waigizaji walioshiriki katika filamu hiyo ambayo inasubiriwa kwa hamu kubwa na mitaa na mpaka sasa juhudi za kuifanyia marekebisho zimeshaanza ili ratiba za uzinduzi wake ziende kama ilivyopangwa.

Lulu kasema " Filamu Haijafutwa Wala kusimamishwa, ila kuna baadhi ya vipande vinahitaji Marekebisho, Uzinduzi Upo kama kawaida"
Chanzo : babamzazi.combabamzazi.com

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE