Mambo vp ndugu zetu? Tunapenda kuwashkuru kwa muda wote wa kuwa nasi pamoja katika kufanikisha habari zetu zinawafikia wote kwa namna moja ama nyingine. Taarifa ni kwamba kuanzia 01 /sep/ 2013 blog hii itafahamikwa kwa www.ubalozini.com kutoka link ya sasa ya www.ubalozini.blogspot.com. Tunaomba tuzidi kuwa pamoja na kwa chochote msisite kuwasiliana nasi kwa 0717 51 96 52.
Tuwatakie siku n jema na kazi njema kwenu.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment