
Diamond anatarajia kutengeneza tena vichwa vya habari pale
atakapoachia video ya wimbo mpya ‘Number 1′ aliyoshoot mwezi huu nchini
Afrika Kusini. Video hiyo ambayo Diamond anasemekana kutumia zaidi ya
shilingi milioni 50 kuikamilisha, imetengenezwa na kampuni ya Ogopa
Videos ya nchini Kenya. Hizi ni screenshots exclusive tulizozipata





















picture by BONGO5.COM
cant wait to see dis...
ReplyDelete