So its another beautiful day , Beautiful sunday , nimeamka and had to clean up my room take a shower and pray a bit then nikakaa kitako kusoma My Magazine, nikaitwa Loveness sauti ya My Dad had to wake up kwenda Mskiza …………….well baada ya kufika akanipa PESA akaniambia hamna mtu in this house Nenda sokoni kanunue nyama coz leo nataka ndizi nipikiwe na ununue na magazeti , basi you know home mie mpole and niko this tinny and naskiza kila ninachoambiwa na kuitikia tu kwa kichwa, i dont talk that much ni mpaka niwe na wadogo zangu ndio tunakuwa this cray cray with stories and so and so..
basi nikaingia in my lovely car , inarangi nyekundu gari yangu My first car nilionunua Mwenyewe kwa hela zangu na hela za baby lol , basi after that nika drive around Mikocheni B Maana sijui hata bucha la nyama mikocheni liko sehemu gani , but nikakutana nalo njia ya kwenda cloudsfm pale panaitwa Business , nikauliza nyama ya ndizi shilingi ngapi that man was so nice kunijibu 5000 Anti ha ha ha, nikatoa hela nikanunua nyama na then nikapitia magazeti , this is crazy for the past 5 years ndio nimejua bei ya nyama ni shilingi ngapi leo hii

hahahaa, but well ntaanza basi kwenda sokoni coz very soon ntahama home na ntaanza kaa mwenyewe and sitohitaji mfanyakazi only Mlinzi na ntafanya kila kitu mwenyewe, what about that? am sure My grandma atafurahi sana coz she so wanted me to be a girl nilipokuwa mdogo and i was so much like a man , always with wajomba and ndugu wa kiume kule Tanga………………………………………but life inabadilika , really tryna woman up and be a lady……………………….love yall
hope hii itawafurahisha
Regards #DivaLovenessLove #DivaCloudsfm #DivaGissele#Diva
0 MAONI YAKO:
Post a Comment