September 05, 2013

 
Dayna.
  Kufuatia taarifa za msanii Diamond kushutumiwa kwamba ameiba bit ya wimbo wa  Dayna unaodaiwa awali ilikuwa wafanye wote, inazidi kumtafuna Diamond kufuatia wadau mbalimbali kutoa yao ya moyoni. Mwanamgeni Ally amepost hii
7 hours ago via mobile
Halaf nyie mnaosema #DAYNA anatafuta #kiki mara cjui anatafuta umaaru ni umaarufu gani tena anatafuta zaid ya huo alionao?
#Nauliza?
Unlike · ·




Hii hapa ya Keny Wapoteen
 
Njaa,uaminifu na dhalau
Hili ni tatizo kubwa kwa baadhi ya maproducer wa music hapa Tanzania

kitendo alichokifanya producer aliyetengeneza wimbo wa Dayna mpya na wa Diamond-number one,kwa kutumia biti moja katika nyimbo zote mbili sio poa kabisa

Uko ni kukosa ubunifu hata kama mmoja wa hao wasanii alimpa hela nzuri eti kisa kavutiwa na biti aliyoikuta studio ambayo tayari ilishafanyiwa kazi na msanii mwingine

Hii ni aina ya maproducer ambao wapo kwa ajiri ya kutaka kuwafanya wafatiliaji au wapenda music wajue kuwa kazi ya uproducer ni kazi rahisi sana..!!

#Ni_Salamu_Tu_Akivimba_Apasuke
Unlike · ·

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE