
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya,ambaye kwa sasa anafanya vyema kwenye anga za
muziki huo,Neylee akiimba kwa hisi jukwaani huu wakati tamasha la
Serengeti Fiesta likiendelea kwa shangwe ndani ya uwanja wa Sokonine.


Shilole akiwa na madensa wake wakitumbuiza
jukwaani tamasha la Serengeti fiesta 2013,uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya.
Afande Sele Mfalme wa rhaymes akiimba kwa hisia

Sehemu ya umati wa watu.
Ney wa Mitego akikamua jukwaani Serengeti Fiesta 2013,kwenye uwanja wa
Sokoine,mjini Mbeya.


Wakazi
wa jiji la Mbeya wakitoa heshima kwa baadhi ya wasanii waliotangulia
mbele za haki, kwa kuwasha tochi za simu zao usiku huu.

Rich Mavoko na skwadi lake wakilishambulia jukwaa.


Ni shangwe tu kwa wakazi wa jiji la Mbeya

Mmoja
wa sanii mahati wa kizazi kipya,Ommy Dimpo akiwaimbia mashabiki wake
singo yake mpya iitwayo Tupogo

DJ Zero akifanya yake.

Msanii toka BSS,Walter
Chilambo ndiye aliyefungua pazia la onesho

Baadhi
ya watu wakifuatilia yanayojiri usiku huu kwenye tamasha la Seremgeto
Fiesta 2013 ndani ya uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya.

Cassim Mganga akikamua sawasawa
0 MAONI YAKO:
Post a Comment