October 07, 2013

 
Jamaa anae fahamika kwa jina la Masaka limbu mkazi wa  Dar amempiga mtoto wake wa kambo mpaka kupoteza maisha, tukio hilo lilitokea jmamosi mida ya saa mbili , Baba huyo alikuwa akikagua madaftari ya shule ya mtoto huyo na kukuta hayajasahihishwa na mwalimu na kuamua kujichukulia hatua na kuanza kumpiga mpaka kifo chake kilivofika....mtoto huyo alikuwa na umri wa miaka tisa..Mtuhumiwa anashikiliwa na Polisi

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE