Ilikuwa siku ya kawaida kama siku zingine msichana wa miaka 18 aliyejulikana kwa jina Chekwube
Mbaka alitumwa sokoni kununua mahitaji ya chakula cha jioni katika mtaa
mmoja huko Naigeria....lakini njiani alikutana na vijana wanane ambao
walimbaka wote mpaka kupoteza maisha yake ....Polisi wamewashikilia
vijana wawili kwa kutuhumiwa kuhusika na tukio hilo ....inasemekana
vijana hao ni watengeneza majeneza wa eneo hilo.
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment