Diamond Platnumz leo hii amefunguka kuhusu kuvuja kwa ngoma yake "Nikifa
Kesho" ambapo amemlaumu producer na inaonekana sababu ni baada ya yeye
kuacha kurecord katika studio hiyo.
Bado haijajulikana producer huyo ni nani hasa... lakinn wimbo umefanyika AM Records chini ya Maneke
0 MAONI YAKO:
Post a Comment