Taarifa za awali kutoka Radio One zinasema kuwa Mwanahabari Julius
Nyaisanga a.k.a Uncle J amefariki dunia asubuhi hii katika hospitali ya
Mazimbu mjini Morogoro. Awali amekuwa akisumbuliwa na Kisukari na
Pressure ila mpaka sasa daktari hajasema sababu ya kifo.
Julius amekuwa akifanya kazi kama Manager wa Kutuo cha Radio cha Abood Fm Kilichopo mjini Morogoro . Pia aliwahi kuwa mtangazaji wa I T V ,Radio One
Naendelea Kufuatilia Taarifa Zaidi.
Source Radio One
0 MAONI YAKO:
Post a Comment