October 23, 2013

Msanii wa muziki wa Bongo fleva Tunda man, ameachia wimbo mpya unaowahamasisha watanzania na wadau kumpa nafasi ya Urais Jamal Malinzi,  Tunda ambaye yeye mwenyewe anajua kusakata kabumbu, ameacghuia wimbo huwo maalum na kudai kwamba ni kwa maslahi ya soka la bongo. Producer wa wimbo huwo ni Manecky toka AM Record

Download na sambaza kwa wengine


Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE