October 09, 2013


Msanii wa kike kutoka Tanzania mwenye uwezo mkubwa wa kufanya muziki  wowote 'Shaa' ametia wino kwenye mkataba wa miezi sita na Saidi Fella kupitia Mkubwa Na Wanawe. Saidi Fella amesema leo kupitia sammisago.com kuwa mkataba huu ni wa muda mfupi na watafanya kazi tofauti na Shaa sababu anauwezo mkubwa wa kuimba na kufundisha muziki.

Saidi Fella amesema wamefanya mazungumzo na Aliyekuwa manager wa Shaa 'Master J' na wamekubaliana kuwa atafanya kazi na mkubwa na wanawe kwa misingi yao na baraka zote wamepewa.

Bab Tale amekuwa akifanya kazi na Shaa kwa muda sasa na kuhamia kwa Said Fella kuta msaidi zaidi Shaa kuteka soko la nyumbani zaidi. Shaa amekuwa moja ya  wasanii Kutoka Tanzania mwenye mashabiki wengi nje ya nchi yake.

Awali Shaa aliwahi kufanya kasimamiwa na  Ay Na Master J. I Hope hizi ngoma mbili kutoka kwa Shaa zitatisha sana hapa Tanzania, Moja amefanya na At na Nyingine Na Rapper Shetta.

Shaa amesema haya ni maamuzi mazuri na yataongeza sana mashabiki wa muziki wake Nyumbani. 

Souce:sammisago.com

Related Posts:

  • Hadhi aliyopoteza Kitwanga imetokana na Bunge-Lema Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema amesema kitendo cha Rais Dkt. John Pombe Magufuli kumng'oa Waziri wa Mambo ya Ndani Charles Kitwanga kunatokana na Bunge kukosa … Read More
  •  Kocha wa kilabu ya Manchester United Louis van Gaal hatimaye baada ya tetesi kuwa nyingi sasa rasmi amefutwa kazi kama kocha wa klabu ya Manchester United ,huku aliyekuwa mkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho akita… Read More
  • Manchester United kumteua Jose Mourinho kuwa kocha wake mpya   Manchester United wanatarajia kumtangaza Jose Mourinho kuwa kocha wake mpya, BBC Sport imeripoti. Inaaminika kuwa deal hiyo na raia huyo wa Ureno mwenye umri wa miaka 53 ilikubaliwa kabla ya ushindi wa United kw… Read More
  • Alikiba amuombea kura Diamond Platnumz Alikiba alisema haya kwenye kipindi cha Planet bongo ya East Africa Radio na kusisitiza kuwa yeye kusaini mkataba na kampuni ya 'Sony Music' jambo kubwa sana katik… Read More
  • Habari katika magazeti leo hii jumatatu 23 Mei Habari za Jumatatu ya leo ya 23 Mei 2016. Karibu katika kurasa za magazeti ya leo hii tulizokukusanyia katika magazeti mbalimbali ya hapa nchini. Habari kubwa zilizobeba uzito na kuwekwa katika kurasa za mwanzo na za mwis… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE