Wengi wanaopenda kusikia kutoka kwa shabiki huyu maarufu, walitaka kusikia atasema nini baada ya mechi ya Yanga na Simba October 20 2013 ambapo Yanga anayoishabikia Steven ilikua inaongoza kwa magoli matatu bila mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika lakini zikarudishwa na Simba zote kipindi cha pili, haya hapa chini ni maoni yake pia vilevile amemtaja mwigizaji wa movie anaempenda Tanzania na ana ujumbe wake
BILIONI 6.7 KUBORESHA AFYA YA MAMA NA MTOTO KAHAMA
-
UJENZI WA JENGO LA GHOROFA TATU WAFUNGUA ENZI MPYA YA HUDUMA ZA AFYA
MANISPAA YA KAHAMA
Na Neema Nkumbi, Kahama
Manispaa ya Kahama inaendelea ...
1 hour ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment