Habari zilizoenea leo ni kwamba Zitto
Amekwenda Uswiss kufuatilia mabilion ya yaliyotunzwa huko na mafisadi
...Jioni hii amepost kwenye facebook yake picha hiyo hapo juu akiwa na
caption hii hapa chini: "Siku ya kwanza ya kazi
hapa Uswiss, mikutano mizuri sana na Waziri wa Fedha na timu yake,
Shirika la Maendeleo #SDC na asasi ya #AllianceSud " Zitto
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment