Rita Paulsen aka Madam Rita wa Bongo
Star Search na Walter Chilambo tayari wameshazijibu Salamu za Nay wa
Mitego na jana ilikuwa zamu ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto KabweKwake mbunge huyo, Nay ni msanii wa pili
wa Hip Hop anayemkubali zaidi Tanzania baada ya Roma na kwamba
anakiheshimu kile alichokisema kwenye wimbo huo kwakuwa ni kazi ya
sanaa.Tazama tweets hizi. CarolNdosi @CarolNdosi I wonder if @zittokabwe ever listens to hip hop..local or international..
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment