Babu Seya na Papii Kocha walihukumiwa kifungo cha maisha jela mwaka 2004 baada ya kupatikana na hatia ya kuwanajisi watoto wa Shule ya Msingi, Mashujaa, Sinza jijini Dar ambapo wamekuwa wakikata rufaa mara kwa mara lakini wakagonga mwamba. Hukumu hii ya rufaa ndiyo ya mwisho kusikilizwa.
WANANCHI SHINYANGA WATOA MAONI RASIMU YA MKATABA WA HUDUMA ZA SHUWASA,
WAPENDEKEZA MITA ZA PRE -PAID
-
Mkurugenzi wa Shuwasa Mhandisi Yusuph Katopola akizungumza.
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Wananchi wa Manispaa ya Shinyanga wamependekeza kuanzishwa ...
7 hours ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment