Madam
Rita Mkurugenzi wa Bench Mark Production na EBSS akizungumza kwene
semina ya Fursa katika ukumbi wa Ubungo Plaza Alhamisi 21 November 2013 -
KAMATA FURSA TWENZETU.
Msemaji katika semina ya Fursa Ndugu Ahmed Lussasi, katika ukumbi wa Ubungo Plaza Dar es salaam Alhamisi 21 November 2013.
Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe. Yahaya Nawanda.
Nikki Wa Pili msanii wa muziki wa kizazi kipya (Hip Hop).
Gerald Hando.
Gerald Hando na Mbwiga Mbwiguke.
Wahudhuriaji wa Semina ya Fursa katika ukumbi wa Ubungo Plaza siku ya Alhamisi 21 November 2013 - Kamata Fursa kisha Twenzetu!!…
Chura wa Snura ‘atrend’ Marekani
.
Chura wa Snura anazidi kusambaa duniani kwa kasi. Clip
zinazowaonesha wanawake watatu wakipika chakula huku wakitikisa mizigo
yao kwa kuucheza wimbo huo maarufu haijashia kutrend Afrika tu bali hadi…Read More
IGP Mangu: Sina taarifa za Rais kumpandisha cheo askari
Amesema
hajapewa taarifa za Rais Magufuli kuagiza koplo Deogratius Mbango
kupandishwa cheo baada ya kumdhibiti mke wa mmoja wa mawaziri wa
serikali yake kwa kosa la kukiuka sheria za usalama barabarani."
Bado haj…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment