Mkutano wa Katibu Mkuu wa Chama Cha
Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbroad Slaa uliofanyika Uwanja
wa Kiganamo, Kasulu Mjini jana umevunjika baada ya polisi kupiga mabomu
ya machozi wakikabiliana na vijana waliorusha mawe kupinga mkutano
usiendelee. Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo, vijana hao wanadaiwa
kuwa kati ya 10-15 ambao walirusha mawe baada ya wananchi kuwafukuza
wakitaka kuwapiga wakipinga kitendo chao cha kupiga kelele ili mkutano
usiendelee ndipo polisi walianza kulipua mabomu ya machozi na mkutano
kuvunjika.
SMZ KUILINDA AMANI KWA GHARAMA ZOTE
-
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesisitiza msimamo wake wa
kuendelea kuilinda amani na utulivu wa visiwa hivyo kwa gharama zote, huku
ikiwatahad...
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment