Izi ni baadhi ya picha zinazohusiana na harakati za Uhuru wa Afrika kuzini. Maeneo nhayo yalikuwa makazi ya Ndugu zetu wa Afrika kusini kabla ya Uhuru wao Mazimbui mkoani Morogoro ambapo wakimbizi toka Afrika kusini ilikuwa ndiyo maskani yao kubwa kwa Tanzania.
SGR Yafikia Asilimia 98, Usafirishaji wa Mizigo Dar–Bahi Waongezeka
-
Na Sheila Ahmadi, Bahi
Serikali inaendelea kuboresha Huduma za usafirishaji wa Reli ya Mizigo
kutoka Dare salaam hadi Bahi ikiwa imefikia asilimia 98 ya ...
1 hour ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment