January 04, 2014

   Dj mkali Afrika Mashariki DJ JD Johnn Dilinga ameuanza mwaka vibaya baada ya kulazwa hospital

  Katika ujumbe aliontumia Dilinga amesema
Hi, nilikuwa nimelazwa Agakhan hospital since 31/12/2013 saa sita usiku, hali yangu ilikuwa mbaya kiasi cha kushindwa kuweza kuandika hata ujumbe wa kukutakia heri ya mwaka mpya.Tunamshukuru Mungu sasa naendelea vizuri na nimepata discharge tangu jana mchana na ninayo nguvu japo ya kuandika ujumbe mfupi; I wish you a Happy New year, may 2014 bring you all you ever wish for. John Dillinga

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE