aviana Matata anatarajia kuanza
kutengeneza mabegi ya kubebea vitabu na madaftari kwaajili ya wanafunzi
nchini. Mabegi hayo ni sehemu ya mradi wake wa kutengeneza vifaa vya
shule uliopo chini ya taasisi yake ya Flaviana Matata Foundation.
Mwishoni mwa mwaka jana, Flaviana alizindua stationery za FMF ambazo
ni pamoja na madaftari, kalamu na vitu vingine vya wanafunzi.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment