TBL kujenga kiwanda cha bia cha Sh 225bn mjini Dodoma.
WAZIRI
wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, amekutana na kufanya mazungumzo
na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia-TBL, Bw. Roberto Jarrin ambaye
ameahidi kuwa kampuni yake itajenga kiwanda kikubwa cha bia
kitaka…Read More
Breaking News: Tundu Lissu Amjibu Vikali Spika Ndugai
Munge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu aliyepo nchini Kenya kwa ajaili ya matibabu, amemjibu vikali spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai kufuatia kauli yake ya kutokwenda kumjulia hali. Tund…Read More
Ratiba mpya ligi kuu Tanzania bara
Ligi Kuu ya Vodacom iliyosimama kupisha
michuano ya Kombe la Chalenji inaendelea mwishoni mwa mwezi huu kwa
mechi za raundi ya 12 zitakazochezwa kati ya Desemba 29 na 31 mwaka huu,
na Januari mosi mwakani.
…Read More
Hawa ndiyo wagombea wa Ubunge CCM kwa majimbo matatu
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda
kuwajulisha wanachama wa CCM na Umma wa watanzania kuwa Kamati Kuu ya
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, na kwa niaba ya Halmashauri Kuu ya
Taifa (NEC) imefanya uteuzi wa mwisho kwa wan…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment