Rais wa Zanzibar Dr. Ally Mohammed Shein, ametangaza kuwa kesho itakuwa siku ya mapumziko kufidia sherehe za kumbukumbu ya siku ya mapinduzi ya Zanzibar. Dr. Shein amesema ameongea na rais Kikwete na kuafikiana kwamba kesho itakuwa siku ya mapumziko kwa Tanzania mzima yaani Bara yna Zanzibar.
January 12, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 MAONI YAKO:
Post a Comment