Msaidizi wa askofu wa KKKT dayosisi ya Arusha Gabriel Kimirei
akisalimiana na mke wa waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh
Edward Lowassa,mama Regina Lowassa wakati wa Ibada ya ubarikio wa mtoto
wa mwenyekiti wa ccm Arusha Onesmo Nangole iliyofanyika katika kanisa la
KKKT Longido.Pembeni Mh Lowassa akitabasamu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment