January 10, 2014


 
Moshi mkubwa ukitoka katika jengo la RK.
MOTO bado ni mkubwa na unaendelea kuteketeza mali katika jengo la RK lililopo Jet Barabara ya Nyerere japo vikosi mbalimbali vya Zimamoto vipo vikiendelea kujaribu kuzuia moto huo. Magari yenye maji yanazidi kuongezwa eneo la tukio ambapo watu ni wengi wanaoshuhudia tukio hilo.
Mpaka sasa hakuna mtu yeyote aliyeripotiwa kupoteza maisha wala kujeruhiwa katika tukio…

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE