January 30, 2014

Aliyekuwa mama mzazi wa Abuu Nacco
   Mwishoni mwa wiki iliyopita tulipatwa na msiba wa mama yetu mpendwa mama wa ndugu yetu, mdau wa media Abuu Nacco.
    Ni pigo kwa familia na watu wakaribu na familia, tulimpenda ila mungu kampenda zaidi. Tutakukumbuka, ngumu sana kusahau upole na ukarimu wako. Kikubwa kwetu ni kuzidi kukuombea upumzike kwa amani.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE