January 25, 2014

Leo majira ya asubuhi msanii wa Bongo movie aliweka picha huku akiwa amekumbatiwa na mwanaume na kusema kuwa "nimemisi kumbatio la huba" kutokana na kauli hiyo wadau wameweka maswali mengi na kuuliza je huyu ndiye mume mtarajiwa wa Wastara au la. swahiliTz tunatafuta ukweli wa swala hili kisha tutalifikisha kwenu wadau wa Tovuti yetu.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE