
Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na mrembo,usidhani utatetemesha kila
Mwanaume,kuna wanaume na akili zao kichwani,urembo wako
Mwanaume,kuna wanaume na akili zao kichwani,urembo wako
hauwasumbui,kama bichwa lako nikanyaboya,uzuri wako hausaidii kitu,na utashangaa no one is paying attention,watu utakaowapata ni walewale kanyaboya wenzako,na hawana futuretabaki unaliwa bure kila siku unatoa macho.Ukipata mwanaume anakupenda
unaanza drama zako na kupiga watu danadana,madai yako hujali na unadhani hata akiondoka utapata mwingine kisa wewe ni mzuri,la hasha! Mwanaume akijitoa mhanga
kukupenda kwa uzuri wako mheshimu,maana viumbe wa kike wakiwa wazuri ni shida na matatizo hakuna mtu anataka,sasa ukimwongezea na drama pamoja na yeye kujigeuza mpalestina kwako utajikuta umeolewa na kioo cha chumbani kwako,maana hicho ndo
kinakudanganya sana kwamba we ni mrembo,Watch out,drama zina mwisho,leo unacheza na mioyo ya watu unajiona we kifaa,usidhaniwanaume hawaumii,tunaumia sema hatusemi tu,machozi yetu kama ya samaki,tunalia ndani kwa ndani





0 MAONI YAKO:
Post a Comment