“Ni video ya kawaida kabisa na
nimeicheza mwenyewe na wacheza shoo wangu.Nilifanya hivyo baada ya video
yangu ya ‘Majanga’ kulalamikiwa kuwa sikucheza. Imeniuma sana video ya "Nimevurugwa"
kufungiwa na BASATA kuonyeshwa kwenye TV bongo wakati kama kukatika ni
tamaduni yetu watanzania kuna video kibao za nje za ovyo kabisa wanavaa
nusu uchi ila azifungiwi"
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment